Habari zenu wakuu, nimevuna alizeti yangu kama gunia 40, sasa naomba kufahamu kama ntaruhusiwa kwenda kuuza nchini kenya ambako bei nasikia nzuri nisije nikafika namanga nikapigwa stop, maana siku hizi hakueleweki nisaidieni wakuu.
Sent from my SM-N9005 using JamiiForums mobile app