KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,711
- 12,068
Maharusi wengi (Bi au Bw) huwa wanagundua wamechemka siku ya harusi yao.
Mzee mzima unaweza ukakiona kitu kikali , mguu mguu, shingo shingo, mgongo mgongo,,,dimpo dimpoz,,,,,,na ukaanza kujilaumu kwanini umeoa mapema kabla ya kufanya uchunguzi wa kina.
Hii hutokea hasa ukumbini wakati wa kutolewa zawadi au wale mabinti warembo wanaovaaga sare.
Hii pia inaaply hata kwa ma bi harusi, nao eti huwa wanaonaga vifua walivyokua wanavitamani ,mahandsome wa ukweli ukumbini na huishia kuugulia maumivu ya ndani kwa ndani.
Ivi hali hii ikikutokea unawezaje kuisovu wakati ushafunga harusi mda fupi uliopita??