Kuunganisha Internet Ofisini.

Kuunganisha Internet Ofisini.

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Wadau JF Heri ya Krismas na Mwaka Mpya 2014.!

Naomba nipate msaada kwa mwenye kujua.Nataka kuunganisha Internet ofisini kwetu kwa kutumia Router ambayo inatumia modem,lengo ni kuanza kutumia Internet yenye kasi kupitia mitandao mbalimbali ya simu.

1.Naomba kujua Router aina ipi ni nzuri zaidi ya bei yake.

2.Mtandao gani wa simu ni mzuri kutumia uwe na kasi na gharama nafuu.?
Hivi sasa tunatumia TTCL ina iko slow sana na huwa inakatika katika mara kwa mara.

Nitashukuru ushauri nikiupata hapa jukwaani au PM au 0787140432.
 
Dadavua yafuatayo.
1. Ofisi yako iko sehemu gani.
2. Unatumia ttcl wireless au modem (cabled). TTCL ni moja ya internet yenye kasi. Je wewe ume subscribe kwenye plan gani?
3. Mara nyingi wansouza modem su service providers huuza na routers. Kwa nini wewe unataka kununua router separately?

Unijibu maswali hayo utasaidiwa vizuri zaidi.
 
naweza kukusaidia Router Nzuri ni za MICROTIK zina wireless strong sana
 
Dadavua yafuatayo.
1. Ofisi yako iko sehemu gani.
2. Unatumia ttcl wireless au modem (cabled). TTCL ni moja ya internet yenye kasi. Je wewe ume subscribe kwenye plan gani?
3. Mara nyingi wansouza modem su service providers huuza na routers. Kwa nini wewe unataka kununua router separately?

Unijibu maswali hayo utasaidiwa vizuri zaidi.

Ofisi yangu ipo Sakina,Arusha
Natumia TTCL imeunganishwa na simu ya mezani na route ZTE ZXV10 W300 Series, natumia kifurushi cha NDUKI
Nataka kununua router separate kutokana na kwamba ofisi tayari imeshafanyiwa wiring,na tuna pata internet japokuwa siyo ya kasi na hukatika mara kwa mara.So nikinunua router ambayo itakubali kuingia modem yoyote will be easy to choose service provider.
Asante,nategemea kusikia mengi toka kwako.
 
Achana na simu watafute Habari Note Limited Habari Node Ltd |Internet Provider with a Difference
 
Back
Top Bottom