Kuunda kikundi cha microfinance

Kuunda kikundi cha microfinance

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Plz ndugu zangu nilikuwa na wazo la kufunguwa microfinance kwa peke yangu cntoweza nilikuwa naitaji kwa yeyote aliye tayar kama vp tuungane kwa pamoja na kwa njia yoyote ya halali tutafute working capital not less than 10 millions so kwa mtu ambaye atakuwa tayari ku team up plz contact with me through 0788562816 thanx guyz
 
mi sina pesa kubwa ya kuchangia ila ninauzoefu nimeshafanya sana kazi kwenye microfinance na hata mimi pia nimeshafungua tatizo kaka ni pesa kwani market yake ni kubwa hakuna maelezo watu wanaohitaji mikopo ni wengi ila we can do something contact kahisekijana@gmail.com
:shock::shock:
 
Unahitaji kiasi cha shilingi ngap ili kuanzisha microfinance.
 
Mimi nina uzoefu pia ila cash ndo majanga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom