Kuumwa tumbo kabla ya hedhi kwa muda mrefu

lenata

Member
Mar 24, 2016
9
1
Habari,

Naomba msaada jamani, mimi nina matatizo huwa naumwa tumbo tarehe 25 la blidi alafu blidi yenyewe naweza kuja kuingia kuanzia tarehe 6 alafu tarehe zinabadilika badilika.
 
Habari za saiz?naomba msaada jamani mi namatatizo hua na umwa tumbo kwanzia tarehe 25 la blid afu blidi yenyewe naweza kujakuingia kwanzia tarehe 6 af tarehe zinabadilika badilika
Una chango hapo mpaka upate mtoto mmoja ndio hiyo hali itaisha
 
Nilisha wai kuzaa tayari lakini tatizo bado afu ata mimba si shiki saizi
 
Back
Top Bottom