Kuumwa sana na kichwa

Shukran mkuu,
Hapo kwenye aleji itabidi afuatilie kabla ya kwenda hospital,inawezekana pia ikawa aleji,kama mkuu hapo juu alivyothibitisha kichwa kupona baada ya kuacha kula dagaa.
 
Utapeli hautakufikisha popote pale
 
Ndugu yako akitaka apone Maradhi yake ya kichwa aache kutumia dawa za kutuliza maumivu ya kichwa fuata ushauri wangu atapona hayo maradhi yake ya kichwa awe anakunywa chai ya Tangawzi, awe anakunywa maji ya kunywa, Maji ya Uvuguvugu kwa wingi na dawa ya mwisho awe anakula punje 12 za Lozi aka (Almond) inapatikana kwenye maduka ya Super Market hiyo Lozi (Almond) angalia hapo chini picha yake.

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…