Antony Abel JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 264 Reaction score 142 Feb 11, 2018 #1 Samahan ndugu wana jf kwa muda mref nimeshindwa kufaham, pia nimeuliza katika jamii inayo nizunguka lakn sijapata jibu kamili. Naja kwenu wana jamvi mnijuze kuwa nazi ipo katika kundi gani. Kwa mfano embe ni tunda je nazi ni nini?
Samahan ndugu wana jf kwa muda mref nimeshindwa kufaham, pia nimeuliza katika jamii inayo nizunguka lakn sijapata jibu kamili. Naja kwenu wana jamvi mnijuze kuwa nazi ipo katika kundi gani. Kwa mfano embe ni tunda je nazi ni nini?
mshipa JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 12,411 Reaction score 23,257 Feb 11, 2018 #2 Kiungo
Shida na raha JF-Expert Member Joined Aug 8, 2014 Posts 3,773 Reaction score 3,474 Feb 11, 2018 #4 Antony Abel said: Samahan ndugu wana jf kwa muda mref nimeshindwa kufaham, pia nimeuliza katika jamii inayo nizunguka lakn sijapata jibu kamili. Naja kwenu wana jamvi mnijuze kuwa nazi ipo katika kundi gani. Kwa mfano embe ni tunda je nazi ni nini? Click to expand... Ulianza mwaka gani kufikiria swali hili?
Antony Abel said: Samahan ndugu wana jf kwa muda mref nimeshindwa kufaham, pia nimeuliza katika jamii inayo nizunguka lakn sijapata jibu kamili. Naja kwenu wana jamvi mnijuze kuwa nazi ipo katika kundi gani. Kwa mfano embe ni tunda je nazi ni nini? Click to expand... Ulianza mwaka gani kufikiria swali hili?
Antony Abel JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 264 Reaction score 142 Feb 11, 2018 Thread starter #5 Shida na raha said: Ulianza mwaka gani kufikiria swali hili? Click to expand... Sio muda sana ni 2012
Shida na raha said: Ulianza mwaka gani kufikiria swali hili? Click to expand... Sio muda sana ni 2012
Antony Abel JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 264 Reaction score 142 Feb 11, 2018 Thread starter #6 mshipa said: Kiungo Click to expand... Nashukuru kwa kunijuza
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,366 Reaction score 161,495 Feb 11, 2018 #7 Nazi ni tunda
Antony Abel JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 264 Reaction score 142 Feb 11, 2018 Thread starter #8 Sakayo said: Nazi ni tunda Click to expand... ASANTE KWA JIBU LAKO
Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,082 Reaction score 10,443 Feb 11, 2018 #9 Dah....Nazi ni kihamasishi[emoji41]