stella1975
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 870
- 1,249
Nijulisheni
Muda wooote huo mkutano Kama huu wa sadc anakosaje?Anatayarisha annual speech
chama chako chademaKuuuliza sio ujinga polepole alienda wapi? Muda mrefu Sana sijamsikia polepole msemaji wa chama chetu na sio kawaida yake nilikuwa namuona kila mkutano wa kitaifa yuko safu Ya mbele na kwenye matukio mbali mbali Lakini ni muda sasa kiti chake kule mbele nakiona kinakuwa kitupu yuko wapi? Au anaumwa?