Kuuliza sio ujinga msemaji wa chama chetu Pole Pole alienda wapi

Kuuuliza sio ujinga polepole alienda wapi? Muda mrefu Sana sijamsikia polepole msemaji wa chama chetu na sio kawaida yake nilikuwa namuona kila mkutano wa kitaifa yuko safu Ya mbele na kwenye matukio mbali mbali Lakini ni muda sasa kiti chake kule mbele nakiona kinakuwa kitupu yuko wapi? Au anaumwa?
chama chako chadema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom