Kuuliza si ujinga

Asante Mkuu.Ushamba sasa umeniisha. Kumbe inaitwa whatsapp. Ubarikiwe Mkuu @c6

Hyo Ni app ya instant chating.. au real time messaging.. app znazoendana na hii zpo nyng kama viber, nimbuzz, ebuddy, tango na bbm... hz n baadhi tuu maana skuiz zpo nyng sanaa ila znatofautiana baadhi ya feature kama calling pia na jinsi ya ku connect .. nyngne znaconect na marafk zako wa fb na nyngne zna connect na number za smu yakoo... Pia baadhi hazpo katika platform nyng.. hapo inayosuport ktkt platform nyng n nimbuzz na ebbudy... ila ukija app kama wechat blackberry na java hawaipat kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…