Kuuliza si ujinga

Mhafidhina07

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
3,678
Reaction score
5,166
Hivi kipindi kile paul makonda kwenye sakata la madawa ya kulevya kitu gani kilisababisha ashinde makanisani na kwa masheikh akiombewa??

Je vipi mkulu wetu nae mda huu sijasikia kauli yake ya kutaka kuombewa je Tayar dua zinamtosha au inakuwaaj?.
 
Hivi kipindi kile makonda kwenye sakata la madawa la kulevya kitu gani kilisababisha ashinde makanisani na kwa masheikh akiombewa??

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Hivi kipindi kile makonda kwenye sakata la madawa la kulevya kitu gani kilisababisha ashinde makanisani na kwa masheikh akiombewa??

Je vipi mkulu wetu nae mda huu sijasikia kauli yake ya kutaka kuombewa je Tayar dua zinamtosha au inakuwaaj?.
Wapigie uwaulize mkuu
 
Itakua anaogopa sura ya Jiwe mkubwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…