Kuugua kwa Maalim Seif kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi wa Zanzibar ni coincidence tu?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,706
149,945
Uchaguzi wa Zanzibar unatarajiwa kufanyika March 20 na wakati huo huo afya ya Maalim Seif,japo amekataa kushiriki uchaguzi huu wa marudio,ni ya utata mtupu maana amelezwa tena kwa mujibu wa magazeti ya leo.

Sasa wadau hii imekaaje?

Huyu mh.anaumwa nini?

Kwanini kipindi hiki?

Nini kimemsibu?

Ni ugonjwa wa kawaida tu?
 
Ugonjwa anao ugua Maalim Seif utabaki kuwa siri yake na daktari wake na familia yake, ukijijengea mashakaka na kuunasibisha ugonjwa na uchaguzi(uchafuzi) wa marudio sio sahihi kwa sababu Cuf kwa umoja wao walisha kataa kitambo kuto kushiriki katika uchaguzi-uchafuzi huo.. Waache CCM wakimbize upepo kiroho safi kabisa...
 
LAWAMA KWA VIONGOZI
WETU

Tumepokea kwa mshtuko na masikitiko makubwa taarifa za kuugua ghafla kwa kiongozi wetu mpendwa Maalim Seif. Wana CUF wote twamuombea dua apone haraka..Amin.

Pamoja na taarifa hizo na dua zetu kwake...Bado tuna malalamiko ya kutoridhishwa na tabia ya viongozi wetu mbalimbali wa CUF kutotupatia taarifa sahihi za maradhi ya Maalim. Mara nyingi twaambiwa aumwa miguu...leo hii taarifa zasema kanpooza...mara ana upungufu wa damu...tushike lipi? Twambieni ukweli? Maana hili la kupooza ndio litusumbualo.

Sisi ndani ya CUF na hasa vijana tunaokipa chama uhai...twatakajua Maalim aumwa nini? Na uko Hindu Mandal hali kiukweli hasa
ikoje..?? Kwa taarifa za kihospitali mtwambiayo ya Damu si kweli...kuna zaidi ya hapo mtwambie ukweli tuwe na amani ya nafsi...Mambo ta kuziba ukweli kwa siasa tupunguze sasa maana Maalim kuumwa aumwa!! Twambieni ukweli acheni Siasa. Mtu kupoteza fahamu na kuhudumiwa kwa Wheel Chair si ugonjwa mdogo. Tupeni ukweli wa afya yake hnofu ituondoke...tunaomba viongozi wetu wa CUF....Tunasubiri..

Pole Maalim...twakuombea kwa Mungu utoke ICU na upone haraka. Amin.
Copied somewhere

Ukawa wanaanza kulana nyama taratiibu!
 
Copied somewhere,
,
Ukawa wanaanza kulana nyama taratiibu,
 
CUF, ukimya wenu muutazame upya.
 
Maalim umri umeenda sana. Wadogo zake kina Kikwete na Amani karume washastaafu yeye bado bize anapigania Madaraka.abaki mshauri nwelekezi wa kina jusa
 
lolote lawezekana chini ya jua hapa TZ. Tutumaini kuwa ni ugonjwa tu na hakuna la ziada! Hebu tuwe na mtizamo chanya kwa changamoto zinazotukabili katika maisha yetu!
 
Back
Top Bottom