WomanOfSubstance
Platinum Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 972
Kuuaga umaskini Tanzania, ni kazi kweli kweli.Fikiria haya yafuatayo:
Unaweza kupata takwimu zaidi kutoka TDHS 2004/5 which is the latest.
- Asilimia 50% ya idadi ya watu Tanzania ni wale wenye umri chini ya miaka 18.Hii inaashiria fertility rate kubwa sana. Asilimia 49% wakiwa kati ya miaka 15-64 ambao ni umri wa kuzalisha. Hii ina maana kuwa nusu ya watanzania bado hawako katika nafasi ya kuchangia ukuaji wa pato la taifa na hatimaye kuuondosha umaskini.Cha kusikitisha zaidi ni kuwa, katika kila watu 100 walio katika kundi la kuweza kuzalisha, ujue kuna watu 104 ambao ni tegemezi.Just think about the age dependency ratio here in relation to growth and poverty reduction.
- Robo ya households, zinaongozwa na wanawake ambao inasemekana ni maskini zaidi ukilinganisha na wanaume.
- Asilimia, 3% ya watoto chini ya miaka 18 wamepoteza mzazi mmoja, ambapo asilimia moja ya wale chini ya miaka 18 wamepoteza wazazi wote.Hii inaonyesha kiwango cha uyatima na mzigo wa kulea watoto yatima.
- Ni asilimia 11% tu ya household Tanzania zenye umeme, Mijini ni aslimia 38 tu ndio wana umeme
- Asilimia 80 ya household bado wanatumia vyoo vya shimo ( pit latrines).Ni asilimia 3 tu ndio wanatumia vyoo vya kisasa (modern flush toilets) !!
- Asilimia 30 wanaishi kwenye nyumba ya chumba kimoja cha kulala wakati asilimia 37 wanaishi nyumba ya vyumba viwili vya kulala.
- 4/10 households za mijini Tanzania bara wanaishi nyumba yenye chumba kimoja tu cha kulala.
kwa mwendo huu, umaskini unapungua?
Naomba umalizie datas kwa kuonyesha ni aslimia ngapi ya watanzania hawajui kwa nini wawe kwenye daftari la wapiga kura na hawajui kwa nini wapige kura.
Nitajitahidi kutafuta...ila na wewe pia chimbua ili utuletee hapa
Mkuu,Naomba umalizie datas kwa kuonyesha ni aslimia ngapi ya watanzania hawajui kwa nini wawe kwenye daftari la wapiga kura na hawajui kwa nini wapige kura.
You make my day!..taxi inawategemezi chungu nzima..day worker, (day and night), Driver, mwenye mali, tra, watoto wao etc..hii kitu inapunguza sana moyo wa kufanya kazi kwenye informal sector...chain ya walaji ni wengi utafikiri mchwa..kitu kimoja..wapi maendeleoTunashukuru kwa data, tukiacha na households dependent hivi daladala moja inawategemaezi wangi (wapiga dede, koda deleva, mwenye gari, watoto wake, ndugu zake, trafic, TRA, etc) ni mfano tu kuonyesha utegemezi ulivyo mkubwa Tanzania na mwingi si walazima. kama serikali hataweka mikakati dhabiti basi umasikini ni halali yetu.
Kuuaga umaskini Tanzania, ni kazi kweli kweli.Fikiria haya yafuatayo:
Unaweza kupata takwimu zaidi kutoka TDHS 2004/5 which is the latest.
- Asilimia 50% ya idadi ya watu Tanzania ni wale wenye umri chini ya miaka 18.Hii inaashiria fertility rate kubwa sana. Asilimia 49% wakiwa kati ya miaka 15-64 ambao ni umri wa kuzalisha. Hii ina maana kuwa nusu ya watanzania bado hawako katika nafasi ya kuchangia ukuaji wa pato la taifa na hatimaye kuuondosha umaskini.Cha kusikitisha zaidi ni kuwa, katika kila watu 100 walio katika kundi la kuweza kuzalisha, ujue kuna watu 104 ambao ni tegemezi.Just think about the age dependency ratio here in relation to growth and poverty reduction.
- Robo ya households, zinaongozwa na wanawake ambao inasemekana ni maskini zaidi ukilinganisha na wanaume.
- Asilimia, 3% ya watoto chini ya miaka 18 wamepoteza mzazi mmoja, ambapo asilimia moja ya wale chini ya miaka 18 wamepoteza wazazi wote.Hii inaonyesha kiwango cha uyatima na mzigo wa kulea watoto yatima.
- Ni asilimia 11% tu ya household Tanzania zenye umeme, Mijini ni aslimia 38 tu ndio wana umeme
- Asilimia 80 ya household bado wanatumia vyoo vya shimo ( pit latrines).Ni asilimia 3 tu ndio wanatumia vyoo vya kisasa (modern flush toilets) !!
- Asilimia 30 wanaishi kwenye nyumba ya chumba kimoja cha kulala wakati asilimia 37 wanaishi nyumba ya vyumba viwili vya kulala.
- 4/10 households za mijini Tanzania bara wanaishi nyumba yenye chumba kimoja tu cha kulala.
kwa mwendo huu, umaskini unapungua?
The extraordinary true story of a Malawian teenager who transformed his village by building electric windmills out of junk is the subject of a new book, The Boy Who Harnessed the Wind.
- Hiyo asilimia ya yatima ni negligible compared to the entire "nguvu kazi" population(15-64 ni 49%)
- Large population ya China inatumika kama internal market nzuri sana(ndio maana kampuni nyingi za west zinatafuta market China),cheap labor safi,and bcoz of that kila mmoja ana compete katika sector yake aweze kuondokana na hali aliyonayo.
- Despite umaskini na relatively low per capita ya China na India,jamaa wanakuja juu;almost kila PC 3 zilizopo duniani 1 ni made in China,sasa hivi made in US inakuwa replaced by made in China(tutalalamika sana ooh,jamaa vitu vyao fake mara vile,but you can't stop them).
- Mzee wa kijijini China anapakia pipa la uchafu kwenye baiskeli,anachokifanya ni kuunganisha mota kweye free wheel(hub) ya baiskeli yake,,,hii pia tunashindwa?
- Soma hapa India's toilet king(http://development.asia/issue04/field.asp), halafu zingatia idadi ya wasomi wetu katika field hiyo.
DIT,MOSHI TECH,UDSM etc haziwezi kutoa product walau inayoweza kuwaza kama huyu kijana?
Peace
- Bonde la mto Rufiji laweza toa mpunga wa kulisha east africa yote,tuna mabonde mangapi kama yale....,SUA has nothing to do on this?wanaweza ku train panya wa kutegua mabomu,vipi washindwe issue kama hizi?Bora shangingi za milion 40 kwa kila mbunge,mkuu wa wilaya...,more expensive as you go up in status kuliko tractors na zana zingine za kilimo(keep in mind kuwa 70% ni wakulima).
- Kuna nchi duniani kwa kiasi kikubwa zinategemea bandari katika uchumi wao,tuna bandari zisizopungua 4...(Dar may be more than 3,Zenji,Tanga,Mtwara).
- Maliasili chungumbovu,tofauti na nchi kama China inayo rejuvinate desert into productive land,Netherland....bahari into productive land etc,sisi dah,,,hadi hasira.madini pekee yake yangepunguza angalau 50% ya matatizo uliyoyaeleza hapo juu.
- Pia kuna matatizo binafsi ya mtu;tunajiona watoto always,sijui ulimaanisha nini uliposema chini ya miaka 18 na yatima,ninachojua mtu ukishafikia puberty tu uyatima unakuondoka na unatakiwa ujiandae na responsibilities za maisha...miaka 18 ni mtu mzima,hii hali ndio inatufanya tuchelewe kwenda shule may be,hadi mtu wafika miaka 20-25 bado ni tegemezi,na unaona ni haki yako kuhudumiwa.
- Kila kitu chaanza from the scratch,tu develop innovative ideas,tupige kazi,tuone tunaweza wapi na tunashindwa wapi.Tuwe friendly kama wanajamii wenye lengo moja,kama una elimu basi implement na jaribu kushare na wasio nayo practically,kule vijijini wanahitaji msaada wa utaalam wa kilimo kutoka SUA and the like,kadhalika fani zingine.
- Tuna produce kidogo tunatumia sana badala ya kusave ili uweze kutumia kama capital ya kutatua matatizo yetu.Mimi sio mchaga ila nafigilia sana hawa Mangi aisee,akija Dar hata kwenye kibanda cha mkaa atalala,ila baada ya muda utaona outcome.{By the way natafuta mchumba(a beautiful girl with good morals) mchaga au mpare}.
Qadhi
Mkuu,
Unaposema watanzania hawajui kwanini wawe wenye PNVR ( DAFTARI KA WAPIGA KURA - PERMANENT NATIONAL VOTERS REGISTER)...au hawajui kwanini wapinge kura sijui kama zipo takwimu za kuunga mkono hoja hii.
Takwimu zilizopo zinaonyesha kuwa watu waliokwisha jiandikisha kupiga kura kwa uchaguzi wa 2010 wameongezeka hadi kufikia watu milioni 18,014,667 ukilinganisha na 15,935,493 waliojiandihikisha kwa uchaguzi wa 2005.
Vera asante kwa data, kama hizo data ni hivyo kwa nini aslimia 88.4 waendelee kupenda kuongozwa na watu ambao ndio chanzo cha umaskini wao siku nenda rudi, jamani hatuoni kuwa kuna problem kubwa sana hapa. Tukichambua hiyo idadi ya wapiga kura 18,000,000 halafu kuchukue kwa kila jimbola uchaguzi kwa mfano mbeya vijijini, busanda na biharamulo utaona kuwa kuna shida hapa ila tu watu hawajafanya postmortem vizuri.Watu hawashindwi kuchangia, wakichanga michango inaenda mikononi mwa wachache ambao hawatamaliza tatizo so wananchi wanaona mchango mzuri ni wa harusi ambapo wanaona hela zao zinavyotumika. ( Sina maana kwamba nakubaliana na kuchanga millions to be spent in hours) Lakini huu ndio ukweli wa watanzania.Increase in fertility rate inatokana na ukweli kuwa kutokana na low poverty level za majority ya wananchi wa Tanzania, (wengi wao wakiwa vijijini). Mwananchi anaamka asubuhi anatembea 5 km kwenda shamba anatumia jembe la mkono mpaka saa tano, anarudi nyumbani lishe duni Mtu kama huyo Starehe yake ni pombe na zinaa, sehemu ambayo hakuna umeme saa mbili usiku kila mtu kajifungia chumbani, the rest is known, It is a vicious circle sort of.Labda tujiulize what should be done, to alleviate these problems.
Ukitembea utaona lakini utajengaje hoja ? anecdotal evidence haina mashiko!Kweli mtu unahitaji takwimu ili kujua bongo maisha magumu? Kuna mambo mengine wala hata hayahitaji takwimu. Ni tembea tu ujionee.