Kutuwekea mgombea msomali ni kudhalilisha Taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutuwekea mgombea msomali ni kudhalilisha Taifa

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by mbea, Oct 25, 2010.

 1. m

  mbea Member

  #1
  Oct 25, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna viongozi wa chama fulani nchini ambacho sera zake zinazofanana na mafreemasons(wale wanaosalimiana kwa ishara ya vidole viwili kama akina Bush,Saddam,Obama,Ahmednijad,Arafat,tonny Blair n.k)kuamua kwa makusudi kumteua mgombea urais ambaye ana wajihi na sifa za kutoka nchi ya Somalia kwenye vita.

  Kwakweli hawa jamaa wamedata kwelikweli,mwaka 2005 walituwekea mgombea mtanzania halisi mwenye hali na wajihi wa kitanzania lakini cha ajabu na kweli mwaka huu wameamua kutuwekea mgombea ambaye sura yake tuu inaonyesha ni mwenye asili ya Somalia na hasa matamshi yake yanaelekea huko kwa kusema 'damu itamwagika'.Anaongea sana lugha za nje kuliko kiswahili,yaani kiswahili chake unaweza ukachukua dakika 10 kutafakari alichodhamilia kuzungumza.

  Swali kwa hawa jamaa wameona watanzania ni mambumbumbu na mazumbukuku/batabata kwa kuwateulia mgombea ambaye hakubaliki katika jamii ya wastaarabu isipokuwa kwa wale wachache wasio na nguvu wanaotaka kuchangia damu yao ardhini badala ya hospitalini,sisi tunasema 'hatudanganyiki na hamtupati ng'oooo'

  Nasubiri matusi ya wafuasi wa freemasons toka hapa JF kwani wapo wengi sana na moja ya sifa zao ni kutukana na kutomtambua mungu wa kweli,sasa ukitukana tuu basi ujue wewe ni mmoja wao na humtambui mungu wa kweli na unasifa za kumkana aliyekuumba.
   
 2. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Nakuunga mkono 100% Mfano mwingine ni yule mgombea anayesemekana anatoka iran na sura yake inadhihirisha zaidi. Isitoshe mgombea huyo ana tuhuma nyingi na nzito za ufisadi, hata hivyo amenadiwa majukwaani kuwa anafaa. Huku ni kulidhalilisha taifa!
   
 3. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #3
  Oct 25, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Unajua dawa ya mbea wewe? kwanza anasutwa kisha anachapwa makofi. Kofi nalokuchapa hapa ni kukwambia kwamba wewe ni pambafu kabisa.
   
 4. K

  Kishazi JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2010
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 485
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Ndugu Mwita Maranya, kuna freedom of expression....!!
   
 5. Gerad2008

  Gerad2008 JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2010
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 489
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  Mbea ukapige Mswaki bado hujaamka kwanza kifungua kinywa unachotakiwa uanze nacho ni supu ya Mwarobaini. We Mkabila mkubwa kama ni Msomali mbona hamkumwekea pingamizi
   
 6. Pelosi

  Pelosi Member

  #6
  Oct 26, 2010
  Joined: Jul 22, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  "Swali kwa hawa jamaa wameona watanzania ni mambumbumbu na mazumbukuku/batabata kwa kuwateulia mgombea ambaye hakubaliki katika jamii ya wastaarabu isipokuwa kwa wale wachache wasio na nguvu wanaotaka kuchangia damu yao ardhini badala ya hospitalini,sisi tunasema 'hatudanganyiki na hamtupati ng'oooo'"

  UNATIA HURUMA.... POLE SANA! KISHA MBUMBU MWENYEWE.....
   
 7. Isaac

  Isaac JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2010
  Joined: Jan 4, 2009
  Messages: 627
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  Sikumbuki kama nilishasoma mahali kwamba Watanzania wote asili yao ni Tanzania. Vipi akiwa Mmasai ana asili ya wapi? Maana wamasai na wairaq wote ni Nilotic. Vipi Wangoni kumbe hawaruhusiwi kugombea? Wamakonde wakagombee Msumbiji? Kumbe huyo Mjaluo hastahili kugombea? Vipi Singida,Kwimba, wamnyime kura Mwarabu? Kwanza raia wa Tanzania ni yupi? Obama ana asili ya Afrika kama sikosei. Kumbe mzungu haruhusiwi kugombea nafasi ya uongozi hata kama amezaliwa Tanzania?
  Bahati mbaya post yako ipo kwenye utani hivyo nitachukulia unatania tu.
  Halafu hiyo defence mechanism uliyotumia usitukanwe inaitwaje?
   
 8. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,900
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Nikisema sana nitakuwa mchawi lakini ni chama gani chenye wagombea wengi wenye asili ya bara la Asia?Si afadhali huyu msomali angalau ni mwafrika mwenzetu,kuliko hawa wairani, wahindi,waarabu ambao wamejaa kila kona ya nchi yetu kwenye majimbo ya uchaguzi.
   
 9. J

  Jobo JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2010
  Joined: May 15, 2008
  Messages: 588
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kweli Nyani haoni Kundule! Hivi meneja wa kampeni wa Mgombea wenu wa Urais ana asili ya wapi? Hivi mgombea wenu wa Ubunge Tabora ana asili ya wapi? Achilia mbali wagombea wengine Ma.ga.ba.chori na Waarabu, hata Waarabu Koko! Acha hizo!
   
 10. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Unaangalia sura, mbona Mwl Nyerere alikuwa na sura ya kitusi.acha akili mgando
   
 11. coscated

  coscated JF-Expert Member

  #11
  Dec 13, 2010
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 1,503
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 180
  wanachama wengi wa chama cha Chapati Chai na Maharage wana upeo mdogo kifikra hivi unaijua alama ya fremasons au unajiropojea tu,ngoja nikuache nadhani upeo wako umeishia hapo.
   
 12. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #12
  Dec 13, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Halafu wasivyo na jema na Tanzania yetu Meneja kampeni wake alikuwa msomali pure na hata jina lake Ab..dulllll nani nani vile msomali msomali kwisha kazi wakadhani sisi watz ni batabata tukamkataa wakaishia kuiba kura!
   
Loading...