Kutupa lundo la taka mtaani usiku! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kutupa lundo la taka mtaani usiku!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Matango, Oct 28, 2011.

 1. Matango

  Matango JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 511
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kuna tabia imejengeka katika baadhi ya mitaa ya miji kadha. Usiku wale waliokosa ustaarabu ndio wanautumia kubeba viroba vya takataka na kuvimwaga katikati ya njia. tabia hii wana JF mnaizungumziaje ? Kwa mtindo huu kweli miji yetu itakuwa safi ?
   
Loading...