Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
ikiona hivyo ujue ni aina ya wanaume wasiojua mapambo ya ndani zaidiWamezoea kukariri tu,kuna vitu wawe wanauliza kwanza kabka ya kulalamika mitandaoni.
Kuna vyombo vingine vizuri kweli fahari ya macho.
maua ya kopo ya kupanda nje tena pale mlangoni[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]