Kutumia pesa nyingi kwenye harusi na ndoa kuvunjika baada ya muda mfupi

BORA HATA WEWE BRO, UMETOA JIBU LA UKWELI " UKITAKA KULA, SHARTI KUBALI ULIWE." ILA PIA KWA UPANDE MWENGINE UTAKUWA UNAKOSEA MAANA HUENDA SHEMU HUKUMPENDA ILA ULITAKA URUDISHE MKWANJA WAKO KUTOKA KWENYE MICHANGO YA AWALI??
Mkuu wala sio unakua humpendi unaemuoa,mnaweza kua mnapendana sana ila linapokuja swala la kuachana mambo huanzia kwingine kabisa..kwa hyo bado sio sababu ya mm kupita kimya kimya bila nliowachangia kuhusika
 
Mkuu wala sio unakua humpendi unaemuoa,mnaweza kua mnapendana sana ila linapokuja swala la kuachana mambo huanzia kwingine kabisa..kwa hyo bado sio sababu ya mm kupita kimya kimya bila nliowachangia kuhusika


well noted mkuu. yani nimekusoma mnoo. Ila bado hapo kwamba haikuwa sababu hii ni kwa sisi wote wanaume na wanawake kwanini tufunge ndoa wakati tutakuja kuzinguana si bora tuwe pamoja then tukifikisha miaka 49 ndo tufunge ndoa maana hakuna jipya na mtiani umefaulu sasa ni cheti cha ndoa tu kupata kama muhutimu!.........ni mtazamo tu!
 
Ndoa kudumu ni majaaliwa
Unaweza ukaoa na kufunga ndoa ya m1 ,yaani kula ubweche tu na soda familia, lakini ndoa ikavunjika pia, japo kiukweli wenzetu wa wenzetu wakenya walishaacha ulimbukeni wa misherehe mikubwa na kusumbua watu michango kwa msg za kila siku, wazungu wao ndo kabisa mambo hayo ya kusumbuana michango hawana huo muda, bongo unakuta mtu ana mil 1 lakini anaweka bajet ya mil13 yaani mil 12 itoke mifukoni mwa watu.
 
Unaspend milioni 5-30 mkwenye harusi.

Unaspend tena million kadhaa kwenye pete ya ndoa

Alafu mpaka sasa mwaka 2018 ndoa kwisha, mmeachana.

Harusi ilikaa usiku mmoja. Pete ya harusi sasa haina thamani.

Nimeona niseme hivi maana kasi ya ndoa kuvunjika ni kubwa sana zaidi ya 20%, watu mnaspendi pesa nyingi sana kwenye harusi na ndoa. Najua mwingine anaweza kusema hujui unachozungumza, subiria wakati wako ufike.

Lakini kama mlikuwa hamna uhakika mtadumu, kwanini uhangaike kufunga ndoa na kufanya harusi. I does not add up, no sense at all??!! Lakini kwanini uhangaike kote huko alafu mwisho wa siku kila mtu achukue hamsini zake si bora mngebaki vile vile ki uwizi uwizi kuliko kuwa na historia kuwa ulioa/kuolewa ukaachika/ndoa kuvunjika? WANANDOA MLIOPATWA NA MIKASA EMBU TUSAIDIENI HAPA.

Ni mtazamo tu!
Hii inasababishwa na fantasy kwa mmoja wa wanandoa. Kwa mfano mtu anaolewa au kuoa hali hali anadhamira ya kuendelea na ex wake akijiaminisha kuwa hatakamatwa. Akikamatwa hamna ndoa. Huu ni mfano hai wa ndoa yangu haikudumu mpaka kero yaani.
 
Back
Top Bottom