Kutumia kifaa cha android kama decoder

Kutumia kifaa cha android kama decoder

kipindi cha zamani cha symbian simu nyingi zilikuwa zinakuja na av cable au micro hdmi ili kuweza kuona content zako za simu kwenye tv ila sasa hivi oem wanaongeza tu processor na ram na kusahau vitu vya maana.

angalia simu yako kama ina micro hdmi kanunue huo waya halafu unganisha na tv yako. ila tv nayo inabidi iwe na hdmi pia.

Nokia-808-PureView-13.jpg


ikiwa haina hdmi hapo itabidi utafute adapter toka micro usb kuja hdmi

41MJMzbTnwL._SY300_.jpg


adapter hio hapo juu na waya wa hdmi utaweza unganisha simu na tv

pia simu za kisasa na tv za kisasa zinakuja na technolojia mpya inaitwa miracast kama vyote viwili vinavyo unaweza kustream kitu cha simu kwenye tv bila waya,
Habar mkuu samahan iyo adaptor inapatikana maduka gan nimetafuta maduka mengi sijafanikiwa kabisa.,
 
fanya research ya mahali ulipo, kwa mwaka mimi natembea mikoa mingi sana na sijaona hata mmoja wenye speed ndogo unless unakaa wilayani

Chief mie niko morogoro maeneo ya chamwino kikazi net jau balaa ila nikiwa ofisini ipo ya kumwaga...huwa natamani nihamie ofisini..
Sijui nitumie njia gani
 
Kwa wenye 2g inafanya kazi???

Jaribu vodacom, 2g yao inakuwa na nguvu kidogo. Kama atleast utapata 25KBps (200kbps) kupanda juu unaweza jaribu iptv.

Zipo chanell around 160kbps hadi 200 ukizitafuta jaribu bahati
 
Jaribu vodacom, 2g yao inakuwa na nguvu kidogo. Kama atleast utapata 25KBps (200kbps) kupanda juu unaweza jaribu iptv.

Zipo chanell around 160kbps hadi 200 ukizitafuta jaribu bahati

asante..kingine chief nje ya mada naomba kujua ni namna gani naweza kuroot hiz simu zenye 4.4 and above maana najaribu kila root tool naona simu inagoma hiii solar 5
 
Ungeanza kutwambia ni simu gani nA TV aina Gani?
Kama Simu yako ina support OTG lazima pia ina support HDMI basi waweza unganisha TV yako Flat na Simu lakini sidhani kama reso;ution itakua nzuri

Kwa nn usitumie Laptop uka stream mpira Live kwenye laptop afu ukai connect kwa HDMI au VGA kwenda kwenye TV ya Flat....
Site nzuri ambayo nimewai tumia na nikacheki mpira bila buffering ni goATD.Net - Watch Free Live Sports TV

Alternatively,najua Internet kwako sio shida mpaka unawaza ku stream mpira Online bila kujali b/w used basi nakushauri nunua Receiver kabisa zenye IPTV uta stream Bein sports bila shida kabisa na kwa bundle kidogo maana ziko optimized kutumia Bundle kidogo hapa hakikisha net ina nguvu na haina fluctuations sana

Pia kuna Android Boxes/Android laptops nazo zinakuja zikiwa loaded na IPTV kibao za kimataifa yaani kama net sio shida utafaidi sana Bein sports,Sky sports,CNN,BBC nk
Unajua Tanzania tumebaki nyuma sana kwenye haya mambo labda sababu mitandao ya Data nayo inatubania sana
Ila ki ukweli IPTV ni next best technology na alternative kwa satellite Pay TV


HHpnvy.png


mkuu hio link inahitaji kusajili???
 
Back
Top Bottom