Kutumia condom.

God bell

JF-Expert Member
May 13, 2011
590
209
Ndugu wana Jf naombeni kufahamu hili jambo. Mimi na mpenzi wangu huwa tunatumia condom, sasa inafika wakati anasema condom inamumiza pale tunapokuwa kwenye mapenzi. Na huwa anajisikia cöndom kuisha yale mafuta yake ndo maana inamuumiza. Sasa nilikuwa nauliza kama kuna jelly au mafuta yoyote ambayo yanaweza kutumika kuifanya condom isiumize na ambayo haitaifanya ipasuke au kuleta madhara kwenye njia ya uzazi. Nawasilisha.
 
The Magnificent

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
2,694
1,244
Mkuu naomba unieleweshe kidogo. KY ndo jelly yenyewe au ni nini. Naomba pia kirefu chake.
Asante pia kwa ushauri.

kirefu chake ningekiweka hapa sema naogopa ban,nway hiyo Y kirefu chake ni YANGU,hiyo K jiongeze mwenyewe mkuu!
 
God bell

JF-Expert Member
May 13, 2011
590
209
Mmm........!!Huo udoctor wenu mliusomea wapi? Manake unaweza kwenda pharmacy kuulizia dawa ikawa ndo tiketi ya kwenda polisi.
 
Ta Kamugisha

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,504
2,144
We wacha ubwege, kama kondom znamuhumiza c mwende mkapime then mwende kitu live kama hamwogopi kupima
 
Mwakalinga Bujo

JF-Expert Member
Oct 22, 2008
2,720
1,438
Use K-Y
It is a lubricating Jelly
It is suitable for additional vaginal lubrication
Ndugu wana Jf naombeni kufahamu hili jambo. Mimi na mpenzi wangu huwa tunatumia condom, sasa inafika wakati anasema condom inamumiza pale tunapokuwa kwenye mapenzi. Na huwa anajisikia cöndom kuisha yale mafuta yake ndo maana inamuumiza. Sasa nilikuwa nauliza kama kuna jelly au mafuta yoyote ambayo yanaweza kutumika kuifanya condom isiumize na ambayo haitaifanya ipasuke au kuleta madhara kwenye njia ya uzazi. Nawasilisha.
 
Didia

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
719
258
Mmm........!!Huo udoctor wenu mliusomea wapi? Manake unaweza kwenda pharmacy kuulizia dawa ikawa ndo tiketi ya kwenda polisi.

Sikuwa na mpango wa kuweka comment kwenye post hii, pia nilitaka nijifunze. Nimefatilia mjadala huwezi amini nilipofika kwenye post hii nimejikuta nikitokwa na kicheko tena kwa sauti. You are so suspicious!
 
Globu

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
8,432
1,886
Angalia sana na kuwa na tahadhari. Condom haipakwi mafuta ya aina yoyote, sio KY wala jelly ya aina yoyote. Yenyewe inakuwa tayari na mafuta yake. Hilo litakuwa ni tatizo la huyo GF WAKO. Inaonyesha K yake inakauka yale majimaji ya kwenye uke. Chunga UKIMWI UNAUA. Usitembee peku peku.
 
Riwa

JF-Expert Member
Oct 11, 2007
2,608
3,049

We nani kakuambia 'K' ikikauka ni tatizo la mwanamke? 'K' inakuwa wet kama mwanamke akiwa excited au akiwa na utayari wa kufanya tendo. Utayari huo upo both psychological and physical...na wewe kama mwanaume inabidi ucheze na vyote kumuandaa mpenzio, yaani psychologically awe na hamu/utamani wa kufanya tendo, kisha physically kwa fore play ya nguvu...kitu kitakavyokuwa wet mbona utatatafuta taulo!

Acha short cut kukimbilia KY jelly...mkamue maji huyo mtoto uache kumuumiza!
 
sw33tboy

Member
May 24, 2011
42
4

hapo umelonnga hakuna cha jely wala cha nini nijinsi gani tu unatkiwa umwandae mwenzi wako utafurahi mwenyewe
 
baraka607

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
844
164
hahahahaha wazee wa comments mmetisha....! kwa kuongezea hiyo KY ukipaka ni bora tu hiyo condom uvue na upige dry season manake utakua ushaiharibu mjamaaaaaaaaaaaaaaaa...
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom