Wengi wanaongea humu nadhani hawana androidtv™️ bali wanna "Android TV Box" ambazo sio androidtv™️ ni Android OS ya kawaida hizi zinakubadi karibu kila apk ya simu ila haijatengenezwa maalumu kwa TV interface yake sio remote friendly, androidtv™️ browser zake hazina nguvu kwa kawaida na huwa zinashida kuplay video nyingi but anyway jaribu "TV Bro" kwenye Play store ya TV au search browser kisha jaribu kila browser.
Njia nyingine ambayo inaweza kuwa solution ya muda ni kulogin kwenye laptop/PC Chrome kisha fanya casting kutoka kwenye browser kwenda kwenye TV, mashine zote zinabidi ziwe wifi moja.
You can show a Chrome tab or your screen from your PC to your TV with your Chromecast or Google TV Streamer (4K) device. You can cast most web content. Some plugins won't work, like Silverlight, Quic