Kutuma file la sauti Jf


tovuti

tovuti

Senior Member
Joined
Oct 29, 2009
Messages
160
Likes
0
Points
0
tovuti

tovuti

Senior Member
Joined Oct 29, 2009
160 0 0
Naomba kujua vipi naweza kutuma file lenye sauti ambalo nimesave ktk pc yangu kwenda Jf....

Nimetumia option ya ku insert attachment nimechemka.....msaada wenu pls
 
sijui nini

sijui nini

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Messages
2,438
Likes
417
Points
180
sijui nini

sijui nini

JF-Expert Member
Joined Sep 29, 2010
2,438 417 180
Naomba kujua vipi naweza kutuma file lenye sauti ambalo nimesave ktk pc yangu kwenda Jf....

Nimetumia option ya ku insert attachment nimechemka.....msaada wenu pls
ku weka kama attachment mara nyingi inasumbua sumbua haswa kwa files za namna hii..kama unaweza tafuta file sharing website yoyote, fungua free account huko then unakuwa unaupload file yoyote unayotaka kushare na watu...ukisha upload you can just get a link from there na kuiweka au kumpa mtu yoyote yule akadownload vizuri, mimi binafsi natumia sana dropbox, coz its just drag and drop baada ya kuinstall!!
 

Forum statistics

Threads 1,275,064
Members 490,894
Posts 30,531,911