Kutotambua jinsia yako

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,311
Reaction score
12,202
Habari wakuu,

Nimesikia leo asubuhi taarifa CloudsFM kuna kijana wa miaka 29 alizaliwa akiwa na kisimi kilichorefuka wazazi wake wakafikiri ni uume na walimlea kama mwanaume kumbe yeye kiuhalisia ni mwanamke na mpaka anafika miaka 29 ana girlfriend ambaye wanafanya mapenzi.

Nazani tatizo lililompeleka hospitalini huyu kijana ni kutokwa damu kila mwezi ambapo baada ya uchunguzi wa madaktari ikajulikana yeye ni mwanamke kwa asilimia zote, pia ile damu ni kipindi anaingia hedhi (period).

Hii imenishtua ukichukulia kiuhalisia kumekuwa na threads nyingi humu JF kuhusu 'vibamia', je haiwezekani kumbe kuna wenzetu wamezaliwa na kulelewa kama wanaume wakati kiuhalisia wao ni wanawake na hicho wanachozani kiungo cha kiume ni kiungo cha kike kilichorefuka tu.

Pia huyu Jamaa - Mwanamke anaweza kweli kuanza kujiweka kama mwanamke au ataendelea tambuliwa kama mwanaume maana hadi girlfriend alikuwa nae na wanaenjoy tendo, je ikifika kipindi wakataka oana kanisa litabariki hiki kitu au ndio ndoto za kuoa zifutike na aingie kundi la LGBT bila kupenda.

PS: Hiki sio kile kijulikanacho kama 'Shemale' bali ni kiungo cha mwili kuzidi.
 
sijaelewa hapa
Kuna jamaa alienda hospitali kuangaliwa tatizo lake la kutokwa damu kila mwezi baada ya uchunguzi amegundulika yeye ni Mwanamke sio mwanaume yani uume wake ni kisimi kirefu tu!. Ingawa hadi ana mpenzi wa kike wanashiriki tendo lote (demu asiyejijua anamgegeda demu anayejijua)!.
 
Ina maana kisimi kimefanana Na uume kimuonekano?
Yeah nimeisikia clouds asubuhi hii na daktari akawa anaitolea ufafanuzi ingawa walimkatisha kuielezea zaidi (maadili ya TCRA!).
 
Reactions: BAK
acha ndot P^u:mbU zilikuwepo pia?vipi matiti?
Na ndio kilichonishangaza ilikuaje, lakini hiyo habari nimeisikia asubuhi hii CloudsFm na daktari mmoja kaielezea kwamba wazazi hawana utambuzi inafikia kuwalea watoto wao kwa jinsia tofauti kama huyo kijana!..
Maelezo mengine kama kisimi, vulva na nini alikuwa anaendelea lakini wakamkatisha kwamba maadili ya utangazaji hayawaruhusu!..
 
Sijui huyo aliyesema au aliyesikia ana umri gani lakini ashakum si matusi KISIMI na **** haviwezi kuwa na umbo sawa,
Usifatilie umri wangu fatilia mada yangu!. Kuna baadhi ya wajinga wamezeeka tu!.
 
It can't be,
kiBiologia ukifikiria tu jinsi maumbile yalivyo tofauti utaelewa tu hizi ni story za kuwaada watu.

eti na ameshiriki kabisa tendo kama mwanaume wakati ni mwanamke.....nitakua wa mwisho kuamini hili.
 
It can't be,
kiBiologia ukifikiria tu jinsi maumbile yalivyo tofauti utaelewa tu hizi ni story za kuwaada watu.

eti na ameshiriki kabisa tendo kama mwanaume wakati ni mwanamke.....nitakua wa mwisho kuamini hili.
Sasa wenye viharage virefu kumbe tunaweza kuvitumia [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Rafiki
 
hizi porojo tu, kisimi hata kirefuke vipi hakiwezi kuwa kama mtalimbo, izo damu zilikuwa zinamtoka wap? ina maaana ana tundu chini?

vp kuhusu umbile na mwonekano (maziwa, wowowo) mie bado kuamini hii kitu kwamba alikuwa anagegeda. Nawaza uwezo wa icho kisimi kukakamaa na kupenya paleeee
 
Sasa kama alikuwa na girlfriend na walikuwa wanakutana na huyo anayesemekana sasa kuwa na mwanamke, ina maana alikuwa anasimamisha na kufikia kileleni na kutoa shahawa. Sasa inakuwaje? Sijaelewa je ana korodani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…