kiamangwana
Senior Member
- Feb 28, 2015
- 175
- 89
Kama mumewe alimwacha ICU na kwenda kuhudhuria nini vile! itakuwa wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana Umuhimu wowote
Nibora hawajaonekana
Wanafiki wanini!!
Maumivu ya kichwa huanza Poole pole.Imekuwa kitu cha ajabu sana kutoona hata mwakilishi mmoja wa upinzani katika msiba wa Mke wa Mwakyembe. Si kawaida kutoona Lowassa au Mbowe au Mwakilishi wa baadhi ya vyama vyetu pendwa kwenye misiba hasa yenye sura ya kitaifa.
Kuna mwenye majibu!!!
Shida nini?
i) Mwakyembe kuwa katika kamati iliyomng'oa Lowassa U-PM mwaka 2007;
ii) Hapakuwa na umuhimu wa kuwa na mwakilishi wa chama katika msiba huu; au
iii) Kuna uhasama wa kivyama sana ambao hatujaanza kuzikana kama Watanzania.
Imekuwa kitu cha ajabu sana kutoona hata mwakilishi mmoja wa upinzani katika msiba wa Mke wa Mwakyembe. Si kawaida kutoona Lowassa au Mbowe au Mwakilishi wa baadhi ya vyama vyetu pendwa kwenye misiba hasa yenye sura ya kitaifa.
Kuna mwenye majibu!!!
Shida nini?
i) Mwakyembe kuwa katika kamati iliyomng'oa Lowassa U-PM mwaka 2007;
ii) Hapakuwa na umuhimu wa kuwa na mwakilishi wa chama katika msiba huu; au
iii) Kuna uhasama wa kivyama sana ambao hatujaanza kuzikana kama Watanzania.
Akili yako ndiko ilikoishiaThats why im always saying CDM is a a shit party..only stupid people will keep lifting up they are nonsense...
Visasi mpaka kwenye misiba??
iphone 7
Tuombe asitwishwe usaliti.Nilikuwapo Msibani. Mbunge wa Mbeya Mjini, Sugu alikuwepo.
Kwa hiyo kwa vile lukuvi alienda unataka na sisi tuende au...Lukuvi alienda kwenye msiba wa ndesambulo kuiwakilisha familia yako ama?
Hakuna cha mbegu hapa ni ujinga tu kwanza sisi huku kwetu habari ya vyama hatuna kila moja na mishe zakeHili la kutoshirikiana kwa misingi ya chama linamea sasa na mwisho wake mbaya.
Ilianza zamani kwenye nyanja tofauti ikaja kwa Lema alipokuwa gerezan kutaka kutembelewa n wabunge wenzake na kauli ya mwenyekiti, ikaja msiba wa Lucky Vicent, ikaja msiba wa Ndesamburo.
Sasa leo umekuja msiba wa Mwakyembe hakuna viongozi wa upinzani waliohudhuria kutokana na ubaguzi na mbegu iliyopandwa.
Nini mwisho wake?
Boss ameonekana mitaa ya Chato anazunguka vijiweni ananunua karanga za laki moja anagawa kwa wananchi.
CDM imewakilishwa na Mheshimiwa Joseph Mbilinyi.Imekuwa kitu cha ajabu sana kutoona hata mwakilishi mmoja wa upinzani katika msiba wa Mke wa Mwakyembe. Si kawaida kutoona Lowassa au Mbowe au Mwakilishi wa baadhi ya vyama vyetu pendwa kwenye misiba hasa yenye sura ya kitaifa.
Kuna mwenye majibu!!!
Shida nini?
i) Mwakyembe kuwa katika kamati iliyomng'oa Lowassa U-PM mwaka 2007;
ii) Hapakuwa na umuhimu wa kuwa na mwakilishi wa chama katika msiba huu; au
iii) Kuna uhasama wa kivyama sana ambao hatujaanza kuzikana kama Watanzania.
Bora ya kwangu maana yako hata ilipoanzia haijulikan..Akili yako ndiko ilikoishia
Wote wana kesi kila alhamis wanapaswa kuhudhuria vituo vya polisiImekuwa kitu cha ajabu sana kutoona hata mwakilishi mmoja wa upinzani katika msiba wa Mke wa Mwakyembe. Si kawaida kutoona Lowassa au Mbowe au Mwakilishi wa baadhi ya vyama vyetu pendwa kwenye misiba hasa yenye sura ya kitaifa.