Ulikuwa huyajui?Wewe toa jibu kama unavyofikiria ili tujue tumefika wapi. Nimeandika ili kupata majibu hayo uliyoandika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulikuwa huyajui?Wewe toa jibu kama unavyofikiria ili tujue tumefika wapi. Nimeandika ili kupata majibu hayo uliyoandika.
Lukuvi alienda.Wangapi walienda kwenye msiba wa Ndesamburo?Au kwa upinzani ni haramu ila kwa CCM ni halali?
Andika upya hueleweki. TWAWEZAMnaongea kipuuzi sawa sawa na mlivyozizamisha akili zenu kwenye upuuzi.Je unajua huyo aliyefariki ni mzaliwa wa wapi? Ni mwendawazimu tu dada yake anapoolewa na mtu aliyemuumbua kwa kuharibu kitumbua chake anasusa mazishi ya dada yake.
Mwakyembe mnafiki? huwajui watu wa Kyela wakoje kitabia.Aliwambia mnaodhani alimsingiziwa huyo mnayemwabudu pelekeni upya hoja bungeni iliyowajaza hasira za kijinga na yeye ataomba Mh.Rais amruhusu kujiuzulu.Aliyasemea hayo hadharani mbona wakubwa zenu wamenyamaza kimya?
Mnasubiri siku ya msiba wa mkewe kipenzi ambaye ni dada wa wenye kampuni mnayodhani ni Chama.Mmezowea ujinga baadhi yenu bila kujali mpo Chama gani,hata wakati wa msiba wa mama yake Mh. ZZK wapo wapuuzi waliodhani ni sehemu ya kumpigia madongo,akawapa makavu kuwa ana ngozi ngumu ya kuhimili siasa lakini msiihusishe na kifo cha mama yake.
Mkoje? au ndiyo mnaolilia hata chakula cha msibani.
Wanasubiri afe watakuja. Usiwe na wasi wasi we shida yako si wahudhurie misiba yenu tu. Mkiendelea kufa watakujaImekuwa kitu cha ajabu sana kutoona hata mwakilishi mmoja wa upinzani katika msiba wa Mke wa Mwakyembe. Si kawaida kutoona Lowassa au Mbowe au Mwakilishi wa baadhi ya vyama vyetu pendwa kwenye misiba hasa yenye sura ya kitaifa.
Kuna mwenye majibu!!!
Shida nini?
i) Mwakyembe kuwa katika kamati iliyomng'oa Lowassa U-PM mwaka 2007;
ii) Hapakuwa na umuhimu wa kuwa na mwakilishi wa chama katika msiba huu; au
iii) Kuna uhasama wa kivyama sana ambao hatujaanza kuzikana kama Watanzania.
Hao jamaa wamejaa CHUKI...UDINI na UKABILA. Na ndio sera yao mpya kwa sasa mkuu.
Itakuwa "walisusa" kama kawaida Yao.
This is very sad, veryMwakyembe nae Mke anaumwa yupo ICU ww unaneng'eneka na kina saida kaloli mara kina Rooney kwani Naibu waziri katibu wa wizara hawapo? Yaani jamaa anajifanya kulia wakati halikuwa karibu na mke wake wakati anaumwa! Nyie mlianzisha ubaguzi basi tutazikana kivyama! Nyie zikaneni nasisi pia.
Ni mbaya sana kule tunakoelekeaKiongozi gani wa serikali alihudhuria mazishi ya NDESA???
Kiongozi gani wa UPINZANI alihudhuria FTARI ilioandaliwa na NDUGAI??
Hii inakuja hadi kwa wananchi wa kawaida, soon misiba ya ccm itakuwa ya ccm tu, ya wengine itakuwa ya wengine tu
Lukuvi chadema damuLukuvi alienda kwenye msiba wa ndesambulo kuiwakilisha familia yako ama?
Wanasubiri afe watakuja. Usiwe na wasi wasi we shida yako si wahudhurie misiba yenu tu. Mkiendelea kufa watakuja
Hayo ndo tunayoyatengeneza katika awamu hii ya tano. Tofauti na ilivyokuwa wakati wa awamu zilizopita. Sasa ni uadui wa wazi kabisa. Angalia kwa Ndesamburo, sasa MawembeImekuwa kitu cha ajabu sana kutoona hata mwakilishi mmoja wa upinzani katika msiba wa Mke wa Mwakyembe. Si kawaida kutoona Lowassa au Mbowe au Mwakilishi wa baadhi ya vyama vyetu pendwa kwenye misiba hasa yenye sura ya kitaifa.
Kuna mwenye majibu!!!
Shida nini?
i) Mwakyembe kuwa katika kamati iliyomng'oa Lowassa U-PM mwaka 2007;
ii) Hapakuwa na umuhimu wa kuwa na mwakilishi wa chama katika msiba huu; au
iii) Kuna uhasama wa kivyama sana ambao hatujaanza kuzikana kama Watanzania.
Kivipi? Wewe hoja yako si kwa nn hawajaja msibani? Ni kwamba wanasubiri watakuja kwenye misiba yenu mingineUko nje ya pointi mkuu.
Lukuvi alienda.
Thats why im always saying CDM is a a shit party..only stupid people will keep lifting up they are nonsense...
Visasi mpaka kwenye misiba??
iphone 7
Imekuwa kitu cha ajabu sana kutoona hata mwakilishi mmoja wa upinzani katika msiba wa Mke wa Mwakyembe. Si kawaida kutoona Lowassa au Mbowe au Mwakilishi wa baadhi ya vyama vyetu pendwa kwenye misiba hasa yenye sura ya kitaifa.
Kuna mwenye majibu!!!
Shida nini?
i) Mwakyembe kuwa katika kamati iliyomng'oa Lowassa U-PM mwaka 2007;
ii) Hapakuwa na umuhimu wa kuwa na mwakilishi wa chama katika msiba huu; au
iii) Kuna uhasama wa kivyama sana ambao hatujaanza kuzikana kama Watanzania.