Kutoonekana kwa Viongozi/Mwakilishi wa Vyama vya Upinzani Katika Msiba wa Mke wa Mwakyembe

Mwakyembe nae Mke anaumwa yupo ICU ww unaneng'eneka na kina saida kaloli mara kina Rooney kwani Naibu waziri katibu wa wizara hawapo? Yaani jamaa anajifanya kulia wakati halikuwa karibu na mke wake wakati anaumwa! Nyie mlianzisha ubaguzi basi tutazikana kivyama! Nyie zikaneni nasisi pia.
HATARI SANA! Huku ndiko nchi inakopelekwa kwa kasi ya kimondo
 
CDM imewakilishwa na Mheshimiwa Joseph Mbilinyi.
Mbilinyi amekwenda kwa kiherehere chake tu na ukabila walionao watu wa Mbeya, hajatumwa na chama.

Mtu mnafki kama Mwakyembe ni wa kumpa clear msg kama hii, na bado.
 
Wala hata hainuumi. Ila nawashangaa tu hao wa.pu.mbavu eti wameweka maazimio ya kutoshirikiana na CCM katika jambo lolote lile hata kwenye msiba. Magufuli aliaga mwili wa Dada yake Lisu pale Karimjee. Bashe nilimuona kuaga mwili wa dada yake Hawa Mwaifunga... Kwa sasa Chadema wamishirikiana na CCM wanaitwa wasaliti. Upu.mbavu mkubwa

Chadema ni chama cha ovyo sana. Viongozi wao wamekuwa wa Ovyo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nani alianzisha kwa Kisumo? Sababu ya msingi ilikuwa nini?
Mtenda akitendewa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala hata hainuumi. Ila nawashangaa tu hao wa.pu.mbavu eti wameweka maazimio ya kutoshirikiana na CCM katika jambo lolote lile hata kwenye msiba. Magufuli aliaga mwili wa Dada yake Lisu pale Karimjee. Bashe nilimuona kuaga mwili wa dada yake Hawa Mwaifunga... Kwa sasa Chadema wamishirikiana na CCM wanaitwa wasaliti. Upu.mbavu mkubwa

Chadema ni chama cha ovyo sana. Viongozi wao wamekuwa wa Ovyo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiachana na masuala ya ushabiki wa vyama,naomba uweke ukweli bayana "kati ya Chadema na CCM wapi ni wa hovyo?"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hukusikia boss alivyokataza kwenda kuwajulia hali wapinzani kuleeeeeee...

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbona alikuwepo Sumaye Mume mwenzake
George Mwakyembe si wote wamepata wake zao kutoka Palestine? Hata Sugu na Nape wapo acheni upuuzi kwenda kwenye msiba it's not a big deal sasa kama hawajapewa microphone watoe salaam utawaonaje! Wacheni ushamba a burial should and must be private issue! Nashangaa akina Mwinyi kutoa heshima za mwisho is it compliant to the Quran?
 
Imekuwa kitu cha ajabu sana kutoona hata mwakilishi mmoja wa upinzani katika msiba wa Mke wa Mwakyembe. Si kawaida kutoona Lowassa au Mbowe au Mwakilishi wa baadhi ya vyama vyetu pendwa kwenye misiba hasa yenye sura ya kitaifa.

Kuna mwenye majibu!!!

Shida nini?
i) Mwakyembe kuwa katika kamati iliyomng'oa Lowassa U-PM mwaka 2007;
ii) Hapakuwa na umuhimu wa kuwa na mwakilishi wa chama katika msiba huu; au
iii) Kuna uhasama wa kivyama sana ambao hatujaanza kuzikana kama Watanzania.
Wewe una lako jambo. Mbona Mh Sugu ameonekana msibani? Au ulitaka mpaka iweje? Arusha walikuja wakanyimwa kuzungumza, Sugu amehudhuria japo hakuongea inakuwa nongwa???
 
Back
Top Bottom