kutongozeana na kuchapiana,ni sehemu ya maisha

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
8,427
7,978
sio kwamba tumeanza sisi zama hizi,toka dahari watu wanatongozeana na kuchapiana.hii haiondoi umuhimu wa ndoa.kuoana ni muhimu na mkioana pendaneni na mjitahidi kuongea kupanga mipango ya maisha,ongeeni mkikumbana na matatizo na muhimu,jamianeni sana,kwa staili mbalimbali,na mnapojamiana ongeeni msifanye kimya kimya.
 
Back
Top Bottom