mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,966
Si unaona Sasa.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mayonize plus juice ya ukwaju
Teh teh teh....
Si unaona Sasa.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mayonize plus juice ya ukwaju
Afu wanawake suala la kumtunukia mwanaume papuchi kwa dharura kwao Ni Jambo dogo Sana.[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mayonize plus juice ya ukwaju
Bwanake alikufa au waliachana?Watoto wawili mkuu
Wew fanya kuandaa mishkak ya jioni bwanaNipo inbox now Natongoza single mother flani hivi aliyejipitisha jana jioni kwenye banda langu la kiepe,
Siyo haba ni mzuri makinikia yapo ya kutosha ndio maana mr Zero nimejitosa kuomba ata namba na leo Asubuhi ndio nimemuamkia ili nimtongoze,
Kilichonifanya nije na bandiko ni kwamba kweli kutongoza single mother ni Raha hawana kuzunguka sana wao wanaenda direct kwenye point,
Nilijua atanidharau kwa sababu nilivyomuuliza umri wake tunatofautiana kama miaka 10 hivi lakini naona anakuja kuja
Ebu cheki hapa majibu yake hivi kuna dalili ya kuchomoa kweli [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 959952
Nb;
Mnaosema atanifirisi kibanda changu cha kiepe msiwe na shaka mi nia yangu ni kupiga tu siku moja na kusepa demu ni mkali ana nyonyo flani hivi zile za kubust yaani ni konyo plus makinikia(Chura).
Pachika na wewe yako alafu unipe namba yake nijiongezeKila bwana alipachika kwa wakati wake mkuu
HahaahahUsitongoze demu mmoja na muuza chips lazima atakushinda tu. Mie nawaogopa Sana watu wa chips. Sikatizi na ngenya pande zile.
Hivi kwani Alikuwa anahudumiwa na nani?Hahahaha eti upo tayari kunihudumia mimi na mwanangu? Aisee hapo habandui maana anajua suala la chakula lishakuwa solved