Waswahili tunasema " UKIONA MANYOYA UJUE KALIWA" so wadada mnaojitamba kuwa mnawalia watu vizawadi kuweni makini, Wanaume tuna tabia ya kujifanya mafala sometimes,, Mtu anaweza akakuhonga leo lakini kwa ajili ya kuweka boya then mzigo akaja kuulla miaka hata mitano mbele,,
Wadau wana tabia ya kuwarudia madem waliojifanya wajanja kiasi kwamba hata kama akijijua yeye Utamtosa atamtumia hata Rafiki yake aje Indirect then Umpende na mwisho wa siku akulize kama ulivyomliza jamaa yake,, so wadada jisifieni tu but "There is no such things as a free lunch"
Ku*"ngozwaa raha mara ishirin zaidi! Na vijizawad zawad aaaah wavipata, mwsho wa siku unalibwaga bwaaaa baharini!!
He! Yaani ndio hivyo!!Waswahili tunasema " UKIONA MANYOYA UJUE KALIWA" so wadada mnaojitamba kuwa mnawalia watu vizawadi kuweni makini, Wanaume tuna tabia ya kujifanya mafala sometimes,, Mtu anaweza akakuhonga leo lakini kwa ajili ya kuweka boya then mzigo akaja kuulla miaka hata mitano mbele,,
Wadau wana tabia ya kuwarudia madem waliojifanya wajanja kiasi kwamba hata kama akijijua yeye Utamtosa atamtumia hata Rafiki yake aje Indirect then Umpende na mwisho wa siku akulize kama ulivyomliza jamaa yake,, so wadada jisifieni tu but "There is no such things as a free lunch"
Mtongoze Husninyo uone ilivyo karaha!
Aisee kumbe nyinyi ndio mliokuwa mkituzibia wenzenu, yaani mavitu yote hayo? Kweli Uporoto ulikuwa mkareee!hahaha! umenikumbusha kuna binti nilimpenda ajabu miaka ya nyuma mtoto wa kiume nikajinyima nikampangishia nyumba,makochi,kitanda,kabati,dressing table,TV,deck,feni na mazagazaga kibao,alipoona chumba kimekamilika haswaa akadai hanipendi tena hahaha! nikajikung'uta vumbi na kuishia zangu lol!
hahaha! umenikumbusha kuna binti nilimpenda ajabu miaka ya nyuma mtoto wa kiume nikajinyima nikampangishia nyumba,makochi,kitanda,kabati,dressing table,TV,deck,feni na mazagazaga kibao,alipoona chumba kimekamilika haswaa akadai hanipendi tena hahaha! nikajikung'uta vumbi na kuishia zangu lol!
maneno yako mi uku hoialfuununi majunuuni...