multmandalin
JF-Expert Member
- Sep 8, 2012
- 2,034
- 584
umri huu na hayo mambo wapi na wapi
usiwe so sure
mama yangu ndo anajua zaidi
Yap huo ndo mpango mzimacku izi unamrushia m-pesa buku tano anajileta mwenyewe
Hii barua si ya hapa Bongo...maana nakumbuka tulikuwa hatutongozi kwa 'kikristo'...
Sehemu pekee ambayo tulikuwa tunaandika umombo ni kwenye maneno 'I' na 'You'...neno 'Love' tulikuwa tunachora alama ya kopa na kimshale.
Hii vipi? Pure origino.
Hii vipi? Pure origino.
Ha ha ha, siku ya kwanza nilipoletewa barua ya hivi nililia. Nilidhani nishapewa ujauzito, how naïve!
hahaaaa yani utongozaji wa enzi zile acha tu halafu my kaka mbona siku hizi siku hizi unachelewa kurudi home
unawahi kuondoka sikuoni kabisa...............
Hapa ndo kulikuwa na mapenzi bana, unajipa appointment mwenyewe, unaenda kumsubiria chini ya huo mti hatokei wala nini, unaganda kama masaa matatu hivi ndo unaondoka ukifika unamwandikia nyingine tena unajipa appointment nyingine............nakuendelea..........
Ha ha haaaa ama kweli mchicha ulianza kama mbuyu!!!!!Na ujemedari wako woooote ulilia????Ha ha ha, siku ya kwanza nilipoletewa barua ya hivi nililia. Nilidhani nishapewa ujauzito, how naïve!
Mimi nilikuwa natongoza kisha naambulia kibao... lol Nikaanza mchezo wa kuvizia watu wakiwa wanaenda kudinyizana nawavizia wakitoka nawazuia nawaambia naenda kuwasemea au na mimi nidinye... sitosema.... kwa uoga mambo yanakuwa bien.... so nikitaka ndio nakumbushia....
Dah... Nilishawahi kuandika barua ya jinsi hiyo kwenye zile karatasi maalumu za kunukia. Niliandika kwa kila wino kasoro mwekundu. Nilipoiweka barua ndani ya bahasha, nikaipulizia pafyumu niliyoiiba kwa mama na kuifungia harufu kwenye bahasha. Sasa si nikaingia darasani na kumuwekea yule dada ndani ya daftari lake. Sasa kwa bahati mbaya mwalimu si akaniona, wacha nile kisagosijui ka vijana wa siku hizi wana hayo.........mwe nimekumbuka mbali na mie
Halafu kila movement unadhani ni huyo anakuja na heart beats zinapanda, akitokea, siye. Mbaya zaidi ikiwa ni usiku unaweza kuita kwa sauti ya chini "nipo hapa" kumbe wala siye unyemsubiria, tena inawezekana wala hana hata mpango. Kweli tumetoka mbali.