Kweli naanza kuamini kua baadhi ya vijana kutongoza ni janga kubwa kwao na wengi wao wanajikaza kisabuni kumalizia hasira zao kwenye punyeto, na hili naliona ni janga kama lilivyo tatzo la ajira tu nchini. Wadau karibuni kwa maoni na mitazamo yenu mnadhani ni nini chanzo cha matatizo haya? N.b mimi si muhanga.