Kutongoza mwanamke kwa macho

Kutongoza mwanamke kwa macho

Habari wanajamvi
Imekua hali iliozoeleka kwangu mara zote , nikikutana na mwanamke uso kwa uso nikimuangalia tu bas sina hata haja yakutongoza.

Swali laja, huwa kuna nini kwenye macho kiasi kwamba wanashindwa kuzuia hisia zao?
kuna wanawake daraja la 1 mpaka 6
hebu tupia picha ya mmoja kwanza tukushauri.
 
Habari wanajamvi
Imekua hali iliozoeleka kwangu mara zote , nikikutana na mwanamke uso kwa uso nikimuangalia tu bas sina hata haja yakutongoza.

Swali laja, huwa kuna nini kwenye macho kiasi kwamba wanashindwa kuzuia hisia zao?
Unatumiwa na mapepo, wanakuwa wamekutuma kuwafuata hao wanawake ili kuwaangusha katika zinaa kuharibu mambo yao na mambo yako mwenyewe.
 
Habari wanajamvi
Imekua hali iliozoeleka kwangu mara zote , nikikutana na mwanamke uso kwa uso nikimuangalia tu bas sina hata haja yakutongoza.

Swali laja, huwa kuna nini kwenye macho kiasi kwamba wanashindwa kuzuia hisia zao?
Inamisha macho Yako hawatalegea tena.
 
mimi mgeni kwa mara ya kwanza naandika hapa suala la kutongoza kwa macho siku hizi leo kesho tena ukifnya hivyo no unapata
 
Macho na roho kuna connection...nazani kwaiyo unapo muangalia moyo wako unajieleza dhairi
 
punguza kulegeza na kurembua macho waachie mashangingi hiyo tabia....
 
Back
Top Bottom