Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,170
- 17,584
Unaweza ukaliwa live mkuu ukikutana na watabeNini cha kudanganyika hapo?
Unaweza ukaliwa live mkuu ukikutana na watabeNini cha kudanganyika hapo?
Nisamehe kama nimekukwaza, humu jf kuna wimbi la watoto wao kila SAA ni kupost ovyopole mkuu haikuwa dhamila yako kuandika hivyo!!
Nimekuzimikia bure yan daahNapenda kutongozwa kwa macho, namjibu kwa macho, tunakulana kwa macho halafu kila mmoja anapita hivi...
😡😡Napenda kutongozwa kwa macho, namjibu kwa macho, tunakulana kwa macho halafu kila mmoja anapita hivi...
Ukiona hivyo basi ujue una macho na sura ya mama yako......Habari wanajamvi
Imekua hali iliozoeleka kwangu mara zote , nikikutana na mwanamke uso kwa uso nikimuangalia tu bas sina hata haja yakutongoza.
Swali laja, huwa kuna nini kwenye macho kiasi kwamba wanashindwa kuzuia hisia zao?
he!Napenda kutongozwa kwa macho, namjibu kwa macho, tunakulana kwa macho halafu kila mmoja anapita hivi...
Nitajalibu mkuuSiku jaribu kuvaa sun glass ( miwami ya jua) utaona tofauti
Tukutane kama kweli utaliwa kwa macho ili tuje na uzi mwingineNapenda kutongozwa kwa macho, namjibu kwa macho, tunakulana kwa macho halafu kila mmoja anapita hivi...
TobaaaahWacha kwenye pesa afaidi vitamu, wewe kumaa na kupepesa makengeza.
Kuna wenye vipaji vyao kwenye hili. Macho utafikiri yana camera ya kupenya hadi kwenye ubongo wako na ajue unachowaza - "Piercing eyes"Macho hayadanganyi!! Over!
Intelejensia.
Hii kitu ni hatari sana niliwahi kuipractice niliona balaa lake acha macho yana nguvu sanaKuna wenye vipaji vyao kwenye hili. Macho utafikiri yana camera ya kupenya hadi kwenye ubongo wako na ajue unachowaza - "Piercing eyes"
So Powerful!! The "look" can say a thousand words - hakuna haja ya kujielezamacho is a powerful creature!