Wakuchanja
Member
- Oct 12, 2017
- 82
- 54
Habari wanajamvi
Imekua hali iliozoeleka kwangu mara zote , nikikutana na mwanamke uso kwa uso nikimuangalia tu bas sina hata haja yakutongoza.
Swali laja, huwa kuna nini kwenye macho kiasi kwamba wanashindwa kuzuia hisia zao?