Kutongoza kwa ulaghai wa ndoa

Kutongoza kwa ulaghai wa ndoa

Mipango ya kuoa tena nmeitoa kwny akili kwa sasa
 
Ndoa inatengenezwa, sio kitu cha mchezo uwa nawashangaa kina dada vituko vyao simu kuingiwa maji,kodi na n.k mwisho wa siku unachora ramani unapotea
 
Trust me
kuna wanawake watafata ushauri huu miaka ikisonga watakuja na uzi wa "hata mlevi poa tuu ili mradi kuolewa"
 
Back
Top Bottom