Mzalendowetu
Member
- May 22, 2012
- 87
- 36
Kabla ya matumizi ya simu, facebook, twiter n.k sanaa ya ushawishi (kutongoza) ilikuwa na styles za pekee kama vile kumsubiri msichana akiwa ametumwa dukani, kuandikiana barua n.k Tupia ya kwako
Unatuma ujumbe kwa rafiki yake......
hizo mambo za kutuma mtu zilimtokea puani shija wa bongo movie. alimtuma sajuki aeende kumtongozea kwa wastara.
kufika kwa wastara akatongoza yeye kama yeye na akakubaliwa.
ila nampongeza sana marehemu sajuki alioa kabisa wastara. RIP sajuki.
' shija aliwai kukiri ili jambo ni kweli'
Kabla ya matumizi ya simu, facebook, twiter n.k sanaa ya ushawishi (kutongoza) ilikuwa na styles za pekee kama vile kumsubiri msichana akiwa ametumwa dukani, kuandikiana barua n.k Tupia ya kwako
Hiyo ilikuwa nzuri sana na siyo siku hizi tuna msururu mpaka basi....zamani raha sana....Zamani kabisa, sisi tulikuwa tunatafutiwa na wazazi!