Wa kuu habari kuna mrembo kanambia ni old ways za kutongoza kiukweli nimejishangaa sanaa.kwan old ways zikoje wakuu.
Sent from my HTCD200LVWPP using JamiiForums mobile app
At least ungetuambia ulimwambia nini, tungekuchambulia.
All in all;
1) kumfungulia mlango au kumuwekea kiti akae.
2) kupiga line, eg 'you are so sweet than Daily milk chocolate', ' I am lost in your eyes, I need a map'.
3) kumsaidia kila kitu, akikuambia matatizo yake, usitoe advice fast. Kausha.
4) money talks. Zamani ilikuwa vocal, these days ni makaratasi tu.
5) be a man and just say you like her up front, usipige story. Zamani ilikuwa ukianza faster, anakuona hufai, these days inabidi ujitose, au atakuona hufai.
6) usisahau kuwa Instagram[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Alafu, huyo inaonekana hana ishu, bonyeza 'Next'. Mtu akikupa mtoso wa eti unatongiza kizamani, anakuambia kiuzuri kuwa wewe sio type yake.
-callmeGhost