Wanawake wanapenda surprise na adventure hivyo wanaume wanaowapenda ni wale wasiotabilika na full of life ,mwanamke hapendi umuulize eti samahani Leo twende wapi? Anataka uchukue uongozi ,mwambie Leo nataka tukale kitimoto matako bar kisha tutaenda kucheza bend knyama nikupitie sa ngapi?usimuulize eti sjui utakuwa na muda anakuona demu mwenzie wao huwa hawana ratiba anahitajika funny guy kumfurahisha they are qeens.
Wanawake sio wanapenda matajiri big noo,wanapenda wala bata na watu active,demu hata asiekunywa we mwambie nimepanga kuna movie Kali tukaione ila kwanza tutapitia dinner lamada ananusa raha,sio ooh mwili wako unanichanganya stupid unadhani yy hajui bring in some energy nigga,
Kingine Neva fake who you are ,Mara unaogopa kula madafu mbele yake Mara unajifanya huvutagi sigara we wanawake hawajui wanachotaka be you and they will adjust
Hiyo ni kwa uzoefu wangu ,nishatoka na jamaa zangu matozi mezani anataka asimulie story za instagram,big brother,familia ya kardashian etc kisa demu anamuonekano wa kisistaduu huwa naona mademu hawawi free Basi hapo mnyama nakuja na stories zangu za nilipokamatwa nikidokoa mboga,vituko navyokutana navyo kusaka hela ,vibuti vya aibu vilivyowahi nikumba...mwisho demu mwenyewe anavizia anatoa namba na neno lao huwa the only uko so funny ntakutafuta
And last but first Don be so ambitious ,demu ukimtaka akakukataa take easy kuwa naye mshikaji and keep on being you and enjoy life wapo ambao simply hutakaa umpate they are replaceable