dennoo_appliances
Senior Member
- Nov 28, 2018
- 136
- 190
Kuna bidada mmoja analalamika sana kwamba wanaume wa jamiiforum hawajui kutongoza, lakin anasahau kwamba kila mwanamke kuna vitu anavyovipenda, ambavyo ni tofaut na mwingine. Kwa mantik hiyo unaweza ukatumia mbinu uliyofanikiwa Kwa huyu, ukafel Kwa yule, yaan unaweza mfutata mwanamke serious kabisa akakukataa, Na unaweza enda kimasihara akakukubalia. Hii inatokana na ukweli kwamba haijulikan wanawake wanapenda nini. Wanawake wengi watakuambia nataka mwanaume awe na sifa fulan au napenda vitu fulan lakin ni kinyume, mfano wanawake karibia wote watakuambia wanapenda wanaume wenye hofu ya Mungu, wapole na wastaarabu lakin wengi wao wanapenda wanaume wahun na wala bata ila hawapend kusema, Ukienda wewe mstaarabu unaambulia kibut, kama ni mwanaume usipende kutilia maanan vitu wanavyosema wanawake wa jf na huko mitaani