Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,189
- 8,218
kwanza kabisa unapata choo kigumu au lainiHabari kwa wote wakuu! Hope mpo njema
TATIZO...
Ni sku chacbe zilizopita ndo niligundua tatizo
Ni ile tu baada ya kumaliza kujisaidia haja kubwa (kunya) zile dakika za mwisho baada y kuangaza macho kwny ile sink nyeupe nilishangaa kuona imetapakaa damu y nyingi sana tena ile damu mbichi
Baada y kujichunguza kwa makini niligundua ile damu inadondoka kwa matone kutoka kwny njia y haja kubwa though sikuwa na maumivu yoyote ndio maana nilishndwa hata kuelewa ile damu ilitoka wap na nadhan bila kuichungulia ile sink hata nisingeweza kujua km nina hilo tatizo
Next time nilikuwa makn kujichungua km ile damu itatoka tena na inaanzia wap...
Soon baada y kuchuchumaa na kuanza kusukuma mzigo niliona matone ya damu yanatoka kwa kasi sana mpaka sink yote ilitapakaa damu, na hata nilipomaliza kushusha mzigo kile kitendo cha kuendelea kuchuchumaa pale kwny sinkvitome vya damu mbichi viliendelea kutoka but hakuna maumivu yoyote Yale
MSAADA...
Kabla cjafikia hatua ya kwenda hospital naamin humu ndan kuna madaktari, wataalamu kibao was afya wenye experience na changamoto tofauti za kiafya
Yoyote ambye ana experience na hili tatizo naomba aje anisaidie kunpa maelezo ya hili tatizo yan
-ugonjwa gan huu?
-chanzo?
-tiba ni nin?
Msaada plz
ikiwa unapata choo kigumu basi huna ugonjwa wowote kula vyakula vya kulainisha choo yako
Sent using Jamii Forums mobile app