Habari wanajf.huwa najiuliza sana,nchi zilizoendelea,matukio ya kutisha ambayo yanale vifo vya wananchi,wahusika huwa wanawajibishwa ipasavyo tofauti na nchi zetu zinazoendelea,TATIZO HUWA NI NINI?kwanini tunaoneana aibu wakti wananchi wanaumia?naomba kuwasilisha