Kutokuwajibishana

Kutokuwajibishana

eddo

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2010
Posts
290
Reaction score
36
Habari wanajf.huwa najiuliza sana,nchi zilizoendelea,matukio ya kutisha ambayo yanale vifo vya wananchi,wahusika huwa wanawajibishwa ipasavyo tofauti na nchi zetu zinazoendelea,TATIZO HUWA NI NINI?kwanini tunaoneana aibu wakti wananchi wanaumia?naomba kuwasilisha
 
ufisadi unaweza kuuficha ukiwa madarakani sasa ukitoka nani atakufichia?
 
Back
Top Bottom