Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,488
- 2,762
habar wadau ni majuzi tu mkutano mkubwa umefanyika huko Mtwara na mheshimiwa Zitto kupata mwaliko kutoka kwa mwenyekiti wa Cuf prof.Lipumba,ni uwazi uliopo kwamba Zitto bado ni mwanachama wa Chadema cha kushangaza ni kwamba hakuvaa gwanda katika mkutano huo,mathalani kuna mikutano mingi ya UKAWA imefanyika na viongoz wa vyama mbalimbali vinavyounda umoja huo wamekuwa wakivaa sare za vyama husika.je kutokuvaa gwanda kwa Zitto kunamaanisha nini?