Kutokujua wimbo wa taifa

Tape measure

JF-Expert Member
Nov 26, 2015
1,980
3,578
Imekuwa sio jambo la kushangaza kumkuta mwanafunzi wa secondary/ chuo na watu wazima hawafahamu wimbo wa taifa kwa ufasaha.Wengi wanafahamu tu baadhi ya sehemu lakini hawawezi kuandika wimbo wote. Tatizo liko wapi wadau? Ni aibu kukuta kiongozi/ mwanasiasa mkubwa hafahamu wimbo wa taifa lake?
 
Back
Top Bottom