Weka wazi kaka, miaka minne bila kufanya mapenzi kwa mpenzi wako tu au mwanamke yeyote? Maana umeomba ushauri kama kuna madhara!je iwapo utakaa mbali na mpenzi wako ,kwa mda mrefu na unampenda na huwezi kumcheat,je kutokufanya mapenzi muda mrefu ,labda miaka minne kuna madhara yeyote kiafya,,mimi ni mwanaume
Weka wazi kaka, miaka minne bila kufanya mapenzi kwa mpenzi wako tu au mwanamke yeyote? Maana umeomba ushauri kama kuna madhara!
me sidhan kama kuna madhara bt unamuaminije huyo mpenzi wako km hulo alipo ametulia?
Mhm (bolded) miaka minne!!!!!!!!Aweke wazi kiaje wakati kasema hataki kumchiti mpenziwe which means hafanyi na wengine..
Tukirudi kwenye mada hakuna tatizo kiafya..Na ukitaka kumudu ji keep busy na kazi zako na mazoezi..Epuka pombe na marafiki wabaya.Pia uwe mtu wa ibada
Mhm (bolded) miaka minne!!!!!!!!
Hakuna madhara yoyote kama huzini nje ya ndoa :biggrin:je iwapo utakaa mbali na mpenzi wako ,kwa mda mrefu na unampenda na huwezi kumcheat,je kutokufanya mapenzi muda mrefu ,labda miaka minne kuna madhara yeyote kiafya,,mimi ni mwanaume
Hatufanani..Sio kila unachoshindwa wewe wengine nao washindwe..Ndio maana kuna akina Bill Gates na kina Matonya.
Kweli kabisa miaka NNE kwa lijali? Tusidanganyane.Jaribu uone mkuu! Madhara sidhani ila kuna changamoto na changamoto hizo usipokuwa makini zinaweza kusababisha madhara makubwa. Kwa mwanaume miaka 4 ni mingi utajikuta unachafua shuka usiku au kupiga pool bila kupenda labda uwe na tatizo.
Sio katika maumbile ndugu. Mwanaume ni mwanaume tu labda awe na kasoro. Hujasikia rais Zuma alibaka ilihali akiwa na ngoma kama mbili hivi ndani?Hatufanani..Sio kila unachoshindwa wewe wengine nao washindwe..Ndio maana kuna akina Bill Gates na kina Matonya.
je iwapo utakaa mbali na mpenzi wako ,kwa mda mrefu na unampenda na huwezi kumcheat,je kutokufanya mapenzi muda mrefu ,labda miaka minne kuna madhara yeyote kiafya,,mimi ni mwanaume
Can't u stay even for 2 years zion daughter?Hatufanani..Sio kila unachoshindwa wewe wengine nao washindwe..Ndio maana kuna akina Bill Gates na kina Matonya.