lawrenceebenezer
Member
- Feb 9, 2013
- 5
- 1
Jitahidi tu kaka lakini hakikisha ukipata hamu tu usiwaze sana kutiana mpigie simu uongee naye mi nilishawahi kukaa miaka miwili na nusu 2010 mpaka 2012.
Na cha kutisha zaidi huyo mwanamke aliyembaka ana ana 'ngoma-HIV' lakini akajtetea kuwa mara tu alipofunga goli,akarush bafuni na kuoga chapu chapu, akiamini kuwa tayari kajikinga na ngoma!!Sio katika maumbile ndugu. Mwanaume ni mwanaume tu labda awe na kasoro. Hujasikia rais Zuma alibaka ilihali akiwa na ngoma kama mbili hivi ndani?