Kutokufanya mapenzi kuna madhara?

"Madhara ni kujiskia kufanya alafu usifanye"

madhara ni yapi?
 
Pampuchi kuwepo mpaka za buku, kwan ndo funguo ya kutembelea vitumbua kwa bidii?
 
Lete fact znazo endana na mada, kama hauna fact we potezea!
 
Kunamadhara yoyote yanayo mtokea mtu asipofanya mapenzi kwa muda mrefu?
Kuumwa na kichwa upande mmoja (kipanda uso) ,kupiga punyeto, kutamani sana wadada wenyw makalio makubwa, kuwa na hasira, msongo wa mawazo, kupenda kuangalia pono.
Mengine wataongezea wataalam
 
Kunamadhara yoyote yanayo mtokea mtu asipofanya mapenzi kwa muda mrefu?
Dah... Dogo kufanya mapenzi kunahitaji nguvu kidogo...asikudanganye mtu Kama huna nguvu unaweza kukaa hata miaka 100...na hakuna madhara yoyote[emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…