Kaguo Willy
Senior Member
- Nov 3, 2016
- 194
- 172
Mkuu umesahau ile theory inayoweka waz kuwa jinsi unavyotumia kiungo cha mwili kwako mara kwa Mara ndivyo kinavyokuwa strong
Dah..hivi mbona mie nimetulia tu..
Na mimi nijazie nyama kidogo,, kwa mwanaume ni hatari zaidi uwezekano wa kupata saratani ya tezi dume ni mkubwa,,na kuongezeka uzito.Madhara yake ni makubwa sana, 1 kupata shambulio la moyo ( heart attack ) 2 kuwa na msongo wa mawazo, ( stresses ) 3 kuwa na hasira bila sababu, ( anger ) hayo ni baadhi tu ya madhara ambayo utakutana nayo.
Hakuna madhara kiongozi, mimi ni mmoja wapo sijaona madhara mpaka sasa na mambo mengi ysko poa na yakwenda kama kawaida.Kunamadhara yoyote yanayo mtokea mtu asipofanya mapenzi kwa muda mrefu?
Kunamadhara yoyote yanayo mtokea mtu asipofanya mapenzi kwa muda mrefu?
Dah!madhara ni ngezi kuzidi, angalia usije ukabaka mbuzi au kuku
Dah.... inategemea na sababu...Kama uko bize sana hilo ni jambo jingine....ila shida ni ukata au domo zege hapo ni tatizo...ama utapiga puchu au utabaka....Kama utapiga puchu hapo hakuna tatizo....ila Kama utabaka hapo ni tatizo....ama utapigwa ufe au utakamatwa ufikishwe polisi...kama utakufa utakuwa umekufa...ila Kama utapelekwa polisi...dahKunamadhara yoyote yanayo mtokea mtu asipofanya mapenzi kwa muda mrefu?



Dah.... inategemea na sababu...Kama uko bize sana hilo ni jambo jingine....ila shida ni ukata au domo zege hapo ni tatizo...ama utapiga puchu au utabaka....Kama utapiga puchu hapo hakuna tatizo....ila Kama utabaka hapo ni tatizo....ama utapigwa ufe au utakamatwa ufikishwe polisi...kama utakufa utakuwa umekufa...ila Kama utapelekwa polisi...dah
Sent using Beretta ARX 160