Kutokufanya mapenzi kuna madhara?

Kutokufanya mapenzi kuna madhara?

watu wana majibu ya shombo kabisa yaaaani aseeeeeeeee
it goes like this... .

of course kuna madhara ambayo naya categorize into 1. psychologically affected
hapa ndo mbaya zaid ina haribu natural thinking capacity 2.physically apa unaweza jiona hahufai kukutana kimwili ,, na kujiona hahufai mbele za watu 3. socially inaweza kuku jengea nawazo ya kutokujiamin mbele za watu















ushauri wanguu jaribu ku socialize na girls wa age almost na yako hapo kitaa may be some could give you their space.
 
Madhara ya kimwili hayapo ,ila kuna madhara ya kiakiri,health include both physical, biological ana mental welfares
 
Yanini kutaka urahisi wa kuteleza kwenye povu la sabuni juu ya tiles wakati mlenda natural hupo?
 
Kweli kwa mwanamke ni sawa mwanaume ni shida ipo sana tu yaani kukaa bila nikazii sana
 
Back
Top Bottom