Kutokuandamana D9 ni kukubali kuwa mauaji, utekaji, uchaguzi ulikuwa halali

Kutokuandamana D9 ni kukubali kuwa mauaji, utekaji, uchaguzi ulikuwa halali

TIETA

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2025
Posts
216
Reaction score
481
Ndugu watanzania kuna maneno mengi yanasemwa na watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa dini, wanasiasa etc kuwa tusiandamane tarehe 9 December. Kutokuandamana hiyo kesho kutwa tafsiri yake ni kama ifuatavyo
1. Uchaguzi ulikwa ni huru na haki
2. Watu hawakuuwawa na hata kama waliuwawa basi ilikuwa ni haki wauwawe
3.Samia ni raisi halali wa Tanzania na tunapenda atutawale kwa kipindi cha miaka mitano ijayo na wabunge wote walichaguliwa kihalali.
4. Nchi yetu haina mambo ya utekaji na hata hao wanaodaiwa kutekwa haina sababu ya kuwatafuta ama kujua walipo
5. Hatuna haja ya katiba mpya
6. Nchi mbalimbali zilizosema uchaguzi wetu haukuwa halali ni waongo.
7.Nchi yetu ina haki
FIKIRI KWA UZALENDO NA CHUKUA HATUA KAMA MZALENDO UNAYEIPENDA TANZANIA
 
Kila kijana ana nafasi ya kuwa balozi wa amani kwa kuwakumbusha wenzake hatari za ghasia, kusambaza ujumbe wa utulivu, na kuepuka maneno ya matusi au uchochezi. Leo, katika hii Jumamosi ya kuelekea maadhimisho ya Uhuru, nawakumbusha vijana wenzangu tusherehekee kwa uzalendo, busara na mshikamano , tukijenga taifa letu kwa vitendo vya amani na upendo. #amani #tanzania #afrika #siasa #youth
wavimba_20251206_072626_0000.png
 
Kila kijana ana nafasi ya kuwa balozi wa amani kwa kuwakumbusha wenzake hatari za ghasia, kusambaza ujumbe wa utulivu, na kuepuka maneno ya matusi au uchochezi. Leo, katika hii Jumamosi ya kuelekea maadhimisho ya Uhuru, nawakumbusha vijana wenzangu tusherehekee kwa uzalendo, busara na mshikamano , tukijenga taifa letu kwa vitendo vya amani na upendo. #amani #tanzania #afrika #siasa #youthView attachment 3512726
Wewe kama ni mkristo utakubaliana na mimi maandiko yanasema hivi " haki uinua taifa" Hakuna sehemu kwenye biblia inasema amani uinua taifa.
Viongozi waliojiweka madarakani wanataka 'amani' hawataki kusikia neno haki. Kwa kuwa wanakataa haki hivyo wanataka taifa letu lisiinuke. Utanishawishi vitu kusema kuwa CCM ni wazalendo?
 
Kila kijana ana nafasi ya kuwa balozi wa amani kwa kuwakumbusha wenzake hatari za ghasia, kusambaza ujumbe wa utulivu, na kuepuka maneno ya matusi au uchochezi. Leo, katika hii Jumamosi ya kuelekea maadhimisho ya Uhuru, nawakumbusha vijana wenzangu tusherehekee kwa uzalendo, busara na mshikamano , tukijenga taifa letu kwa vitendo vya amani na upendo. #amani #tanzania #afrika #siasa #youthView attachment 3512726
Hii sura ni chukizo kwa Mungu
 
Wewe ni mjikuu wa Stephen Wassira?
 
Wewe ni mjikuu wa Stephen Wassira?
Huyo atakuwa mjukuu wa wassira. Wewe unataka amani lakini haki utaki!! Yaani bado watanzania wengi wamefungwa eti tulinde amani na sio haki. Unalinda amani ili kuwatajirisha akina Rostam Aziz na genge lake, watu waendelee kula rushwa za mabilioni lakini hakuna chochote watafanywa. Lakini vijana wenzangu tukifanya kosa lolote tutafunguliwa mashtaka na hadi kufungwa jela. Je hiyo ndo amani tunayotaka?
NARUDIA TENA HAKI UINUA TAIFA. BILA HAKI TUSIJIDANGANYE, TAIFA LETU LITAENDELEA KUDIDIMIA NA TUTABAKI KUJIDANYANYA TU ETI TUKO KATIKA VITA VYA KIUCHUMI MATAIFA YA NJE YANATUONEA WIVU!!
 
Kulingana na upepo unavyokwenda! Inaweza kuwa hivyo!
Serikali inachofanya kwa sasa ni kucheza na Saikoloji ya watu!
Inaamini kwa mauaji yale yaliyofanywa na vyombo vya Usalama hakuna mtu atakayethubutu kuandamana! Lakini upande wa pili haijiamini,kama kabla ya Uchaguzi Polisi pamoja na kutoa vitisho vya kila lakini watu waliandamana,watu wanaweza kuandamana tena,na kama ikitokea watu wakaandamana,safari hii vyombo vya Usalama havitathubutu kuua watu kwa risasi kuhofia Jumuia ya Kimataifa!
Waandamanaji nao wanaamini Vyombo vya Usalama vinaweza kufanya kweli kama vilivyofanya okt 29 na kuendelea kwa hiyo kuna uoaga!
Lakini katika yote waandamanaji wakiondoa Uoga wakaamua kuandamana,Vyombo vya Ulinzi na Usalama vitajikuta vinasindikiza Maandamano bila kupiga riasi hata moja.
 
Kulingana na upepo unavyokwenda! Inaweza kuwa hivyo!
Serikali inachofanya kwa sasa ni kucheza na Saikoloji ya watu!
Inaamini kwa mauaji yale yaliyofanywa na vyombo vya Usalama hakuna mtu atakayethubutu kuandamana! Lakini upande wa pili haijiamini,kama ikitokea watu wakaandamana,safari hii vyombo vya Usalama havitaua watu kwa risasi kuhofia Jumuia ya Kimataifa!
Waandamanaji nao wanaamini Vyombo vya Usalama vinaweza kufanya kweli kama vilivyofanya okt 29 na kuendelea kwa hiyo kuna uoaga!
Lakini katika yote waandamanaji wakiondoa Uoga wakaamua kuandamana,Vyombo vya Ulinzi na Usalama vitajikuta vinasindikiza Maandamano bila kupiga riasi hata moja.
Umesema vyema. Naona kama hii serikali haramu kwa kutumia baadhi ya watu, vyombo vya ulinzi imefanikiwa kujengea watu uoga.
Tusubiri D9 itaamua..Lakini naona hatari kubwa sana maandamano yasipofanikiwa. Tutegemee ukandamizaji wa hali ya juu sana.
Hivi kweli serikali inayojua kabisa iko madarakani kwa njia haramu, inawezaje kuleta katiba mpya?, inawezaje kukubali kuwa imekuwa ikiteka watu na kuwapoteza? inawezaje kuwa na maridhiano ya uwazi na ukweli?. Serikali hii haramu ikukubali hayo yote basi iko tayari watu wake, wanyongwe, wafungwe, wapigwe faini etc.
 
Back
Top Bottom