Ni kweli kabisa unaposema wapinzani wenyewe hawakutaka kushiriki Uchaguzi wakati Tundu yupo kwenye Kesi ya Mchongo , Chadema kama Chama nao wana Kesi ya Mchongo, Mpina Naye ana pingamizi la INEC na sio Mahakama, basi Kiongozi kama huyo anawalakini na Nia yake ya kuwa alipo sio nzuri kwa taifaThis is my observation.
No more No Less
This is my observation.
No more No Less